34 Kwa maana kidari cha toleo la kutikisa+ na mguu wa lile fungu takatifu navichukua kutoka kwa wana wa Israeli kutoka katika dhabihu zao za ushirika, nami nitampa Haruni kuhani na wanawe kutoka kwa wana wa Israeli, kama sharti mpaka wakati usio na kipimo.