-
Mambo ya Walawi 11:35Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
35 Na kila kitu ambacho juu yake huenda wowote kati ya mizoga yao ukaangukia kitakuwa kisicho safi. Iwe ni jiko au kinara cha mtungi, kitavunjwa. Vitu hivyo si safi, navyo vitakuwa si safi kwenu.
-