Mambo ya Walawi 13:4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Lakini ikiwa doa ni jeupe katika ngozi ya mwili wake nalo halionekani kuwa limepenya chini ya ngozi yake na nywele zake hazijageuka na kuwa nyeupe, basi kuhani atamtenga+ mwenye pigo hilo siku saba.
4 Lakini ikiwa doa ni jeupe katika ngozi ya mwili wake nalo halionekani kuwa limepenya chini ya ngozi yake na nywele zake hazijageuka na kuwa nyeupe, basi kuhani atamtenga+ mwenye pigo hilo siku saba.