Mambo ya Walawi 13:20 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 20 Naye kuhani atatazama,+ na ikiwa linaonekana kuwa limepenya chini ya ngozi na nywele zake zimegeuka na kuwa nyeupe, ndipo kuhani atamtangaza kuwa asiye safi. Ni pigo la ukoma. Limetokea katika jipu.
20 Naye kuhani atatazama,+ na ikiwa linaonekana kuwa limepenya chini ya ngozi na nywele zake zimegeuka na kuwa nyeupe, ndipo kuhani atamtangaza kuwa asiye safi. Ni pigo la ukoma. Limetokea katika jipu.