Mambo ya Walawi 13:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Lakini kuhani akilitazama, na, tazama sasa, hakuna nywele nyeupe ndani yake wala halijapenya chini ya ngozi na limefifia, kuhani atamtenga+ siku saba.
21 Lakini kuhani akilitazama, na, tazama sasa, hakuna nywele nyeupe ndani yake wala halijapenya chini ya ngozi na limefifia, kuhani atamtenga+ siku saba.