Mambo ya Walawi 14:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Na itakuwa kwamba katika siku ya saba atanyoa nywele zake zote zilizo kichwani+ pake na kwenye kidevu chake na nyusi zake. Naam, atanyoa nywele zake zote, naye atayafua mavazi yake na kuoga mwili wake katika maji; naye atakuwa safi.
9 Na itakuwa kwamba katika siku ya saba atanyoa nywele zake zote zilizo kichwani+ pake na kwenye kidevu chake na nyusi zake. Naam, atanyoa nywele zake zote, naye atayafua mavazi yake na kuoga mwili wake katika maji; naye atakuwa safi.