-
Mambo ya Walawi 14:42Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
42 Nao watachukua mawe mengine na kuyaingiza mahali pa yale mawe ya zamani; naye atafanya saruji tofauti ya udongo ichukuliwe, naye atafanya nyumba hiyo ipigwe lipu.
-