-
Mambo ya Walawi 14:52Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
52 Naye ataitakasa nyumba hiyo kutokana na dhambi kwa damu ya yule ndege na yale maji yanayotiririka na yule ndege aliye hai na ule mti wa mwerezi na ile hisopo na kile kitambaa chenye rangi nyekundu ya kochinili.
-