-
Mambo ya Walawi 27:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 nayo thamani iliyokadiriwa iwe ya mwanamume mwenye umri wa kuanzia miaka 20 mpaka miaka 60, basi thamani iliyokadiriwa itakuwa shekeli 50 za fedha kulingana na shekeli ya mahali patakatifu.
-