-
Mambo ya Walawi 27:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 “‘Sasa ikiwa umri ni kuanzia miaka 60 na zaidi, ikiwa ni mwanamume, basi thamani iliyokadiriwa itakuwa shekeli 15 na kwa ajili ya mwanamke itakuwa shekeli 10.
-