-
Mambo ya Walawi 27:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Hataweka kingine mahali pake, wala kukibadili chema kwa kibaya au kibaya kwa chema. Lakini ikiwa ni lazima akibadili, mnyama kwa mnyama, basi lazima hicho chenyewe na kile kitakachobadilishwa nacho vitakuwa kitu kitakatifu.
-