-
Hesabu 5:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Naye kuhani atachukua maji matakatifu katika chombo cha udongo, naye kuhani atachukua sehemu ya mavumbi yaliyo kwenye sakafu ya maskani, naye atayatia katika maji.
-