-
Hesabu 11:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Sasa kulikuwa na wawili kati ya wanaume hao waliobaki katika kambi. Jina la mmoja wao lilikuwa Eldadi, na jina la yule mwingine lilikuwa Medadi. Nayo roho ikaanza kushuka juu yao, kwa maana walikuwa kati ya wale walioandikwa, lakini hawakuwa wameenda kwenye hema. Basi wakaanza kutenda kama manabii katika kambi.
-