Hesabu 11:32 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 32 Ndipo watu wakasimama siku hiyo mchana kutwa na usiku kucha na kesho yake mchana kutwa nao wakaendelea kuokota kware. Yeye aliyeokota kidogo zaidi alikusanya homeri+ kumi, nao wakawatandaza katika eneo kubwa pande zote za kambi kwa ajili yao.
32 Ndipo watu wakasimama siku hiyo mchana kutwa na usiku kucha na kesho yake mchana kutwa nao wakaendelea kuokota kware. Yeye aliyeokota kidogo zaidi alikusanya homeri+ kumi, nao wakawatandaza katika eneo kubwa pande zote za kambi kwa ajili yao.