-
Hesabu 22:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Naye malaika wa Yehova akaendelea kusimama katika hiyo njia nyembamba katikati ya mashamba ya mizabibu, yenye ukuta wa mawe upande huu na ukuta wa mawe upande ule.
-