Hesabu 22:29 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 29 Ndipo Balaamu akamwambia punda huyo: “Ni kwa sababu umenitendea bila huruma. Laiti ningalikuwa na upanga mkononi mwangu, kufikia sasa ningalikuwa nimekuua!”+
29 Ndipo Balaamu akamwambia punda huyo: “Ni kwa sababu umenitendea bila huruma. Laiti ningalikuwa na upanga mkononi mwangu, kufikia sasa ningalikuwa nimekuua!”+