4 na kwa kweli baba yake asikie nadhiri yake au nadhiri yake ya kujiepusha ambayo amefunga juu ya nafsi yake, na baba yake akae kimya kumwelekea, nadhiri zake zote zitasimama pia, na kila nadhiri ya kujiepusha+ ambayo amefunga juu ya nafsi yake itasimama.