Hesabu 31:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Lakini wana wa Israeli wakawachukua mateka wanawake wa Midiani na watoto wao wadogo;+ na wanyama wao wote wa kufugwa na mifugo yao yote na riziki yao yote wakaipora.
9 Lakini wana wa Israeli wakawachukua mateka wanawake wa Midiani na watoto wao wadogo;+ na wanyama wao wote wa kufugwa na mifugo yao yote na riziki yao yote wakaipora.