Hesabu 32:42 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 42 Naye Noba akapiga mwendo, akaliteka Kenathi+ na miji yake ya kandokando; naye akaanza kuliita Noba kwa jina lake mwenyewe.
42 Naye Noba akapiga mwendo, akaliteka Kenathi+ na miji yake ya kandokando; naye akaanza kuliita Noba kwa jina lake mwenyewe.