-
Hesabu 35:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Na viwanja vya malisho vya majiji hayo, ambayo mtawapa Walawi, vitakuwa kutoka katika ukuta wa jiji kuelekea nje kipimo cha mikono elfu moja kuzunguka pande zote.
-