-
Hesabu 35:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Nanyi mtapima nje ya jiji upande wa mashariki mikono elfu mbili na upande wa kusini mikono elfu mbili na upande wa magharibi mikono elfu mbili na upande wa kaskazini mikono elfu mbili, jiji likiwa katikati. Hicho kitatumika kwao kama kiwanja cha malisho cha majiji hayo.
-