- 
	                        
            
            Kumbukumbu la Torati 11:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
- 
                            - 
                                        10 “Kwa maana ile nchi unayoenda kuimiliki si kama nchi ya Misri mliyotoka, mahali ambapo ulikuwa ukipanda mbegu yako nawe ulikuwa ukimwagilia maji kwa mguu wako, kama bustani ya mboga. 
 
-