-
Kumbukumbu la Torati 22:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Hivyo ndivyo pia utakavyofanya na punda wake, na hivyo ndivyo utakavyofanya na nguo yake ya kujitanda, na hivyo ndivyo utakavyofanya na kitu chochote kilichopotea cha ndugu yako, kinachopotea kutoka kwake na ambacho umepata. Hutaruhusiwa kukiacha.
-