Yoshua 1:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 “Piteni katikati ya kambi na kuwaamuru watu, mkisema, ‘Jitayarishieni chakula, kwa kuwa siku tatu kutoka sasa mtavuka huu mto Yordani ili kuingia na kuimiliki nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa ninyi mpate kuimiliki.’”+ Yoshua Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 1:11 w04 12/1 9 Yoshua Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 1:11 Mnara wa Mlinzi,12/1/2004, uku. 9
11 “Piteni katikati ya kambi na kuwaamuru watu, mkisema, ‘Jitayarishieni chakula, kwa kuwa siku tatu kutoka sasa mtavuka huu mto Yordani ili kuingia na kuimiliki nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa ninyi mpate kuimiliki.’”+