-
Yoshua 7:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Kisha wakarudi kwa Yoshua wakamwambia: “Usiache watu wote waende. Acha wanaume elfu mbili hivi au wanaume elfu tatu hivi waende kupiga Ai. Usiwachoshe watu wote kwa kuwapeleka huko, kwa maana watu hao ni wachache.”
-