-
Yoshua 8:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Ndipo watu wa Ai wakaanza kugeuka nyuma wakaona, na tazama, moshi wa jiji hilo ulikuwa unapaa juu mbinguni, na ndani yao haukubaki uwezo wowote wa kukimbia huku au huku. Kisha wale watu waliokuwa wakikimbilia nyikani wakawageukia wale waliokuwa wakiwafuatilia.
-