Yoshua 18:19 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 19 Na mpaka huo ukaendelea hadi mteremko wa kaskazini wa Beth-hogla,+ na mwisho wake (wa mpaka) ukawa katika ghuba ya kaskazini ya Bahari ya Chumvi+ kwenye mwisho wa upande wa kusini wa Yordani. Huo ndio uliokuwa mpaka wa upande wa kusini.
19 Na mpaka huo ukaendelea hadi mteremko wa kaskazini wa Beth-hogla,+ na mwisho wake (wa mpaka) ukawa katika ghuba ya kaskazini ya Bahari ya Chumvi+ kwenye mwisho wa upande wa kusini wa Yordani. Huo ndio uliokuwa mpaka wa upande wa kusini.