-
Yoshua 18:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Na mto Yordani ukawa ndio mpaka wake upande wa mashariki. Huo ndio uliokuwa urithi wa wana wa Benyamini kulingana na familia zao, kulingana na mipaka yake kuzunguka pande zote.
-