Yoshua 22:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Walipofika katika maeneo ya Yordani yaliyokuwa katika nchi ya Kanaani, ndipo wana wa Rubeni na wana wa Gadi na nusu ya kabila la Manase wakajenga huko madhabahu kando ya Yordani, madhabahu+ kubwa yenye kuonekana wazi. Yoshua Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 22:10 Mnara wa Mlinzi (Funzo),8/2018, kur. 5-6 Mnara wa Mlinzi,11/1/1986, uku. 23
10 Walipofika katika maeneo ya Yordani yaliyokuwa katika nchi ya Kanaani, ndipo wana wa Rubeni na wana wa Gadi na nusu ya kabila la Manase wakajenga huko madhabahu kando ya Yordani, madhabahu+ kubwa yenye kuonekana wazi.