-
Yoshua 22:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Watu wa kabila la Rubeni, Gadi, na nusu ya kabila la Manase walipofika maeneo ya Yordani katika nchi ya Kanaani, walijenga madhabahu karibu na Mto Yordani, madhabahu kubwa inayovutia.
-