Yoshua 24:27 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 27 Naye Yoshua akawaambia watu wote: “Tazameni! Jiwe hili litakuwa ushahidi dhidi yetu,+ kwa sababu limesikia maneno yote ya Yehova ambayo amesema nasi, nalo litakuwa ushahidi dhidi yenu, ili msije mkamkana Mungu wenu.”
27 Naye Yoshua akawaambia watu wote: “Tazameni! Jiwe hili litakuwa ushahidi dhidi yetu,+ kwa sababu limesikia maneno yote ya Yehova ambayo amesema nasi, nalo litakuwa ushahidi dhidi yenu, ili msije mkamkana Mungu wenu.”