Waamuzi 3:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Basi roho+ ya Yehova ikaja juu yake, naye akawa mwamuzi wa Israeli. Alipoenda vitani, Yehova akamtia Kushan-rishathaimu mfalme wa Siria mkononi mwake na mkono wake ukamshinda nguvu+ Kushan-rishathaimu.
10 Basi roho+ ya Yehova ikaja juu yake, naye akawa mwamuzi wa Israeli. Alipoenda vitani, Yehova akamtia Kushan-rishathaimu mfalme wa Siria mkononi mwake na mkono wake ukamshinda nguvu+ Kushan-rishathaimu.