Waamuzi 6:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Kwa hiyo nikawakomboa ninyi kutoka katika mkono wa Misri na kutoka katika mkono wa wakandamizaji wenu wote, nikawafukuza kutoka mbele yenu, nikawapa ninyi nchi yao.+
9 Kwa hiyo nikawakomboa ninyi kutoka katika mkono wa Misri na kutoka katika mkono wa wakandamizaji wenu wote, nikawafukuza kutoka mbele yenu, nikawapa ninyi nchi yao.+