-
Waamuzi 6:37Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
37 tazama, ninaweka manyoya ya kondoo yakiwa wazi katika uwanja wa kupuria. Umande ukija juu ya manyoya hayo peke yake lakini nchi yote hapo iwe kavu, ndipo nitakapojua kwamba utawaokoa Israeli kupitia kwangu, kama vile ambavyo umeahidi.”
-