Waamuzi 9:35 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 35 Baadaye Gaali+ mwana wa Ebedi akatoka nje na kusimama penye mwingilio wa lango la jiji. Ndipo Abimeleki na watu waliokuwa pamoja naye wakasimama kutoka mahali pa kuvizia.
35 Baadaye Gaali+ mwana wa Ebedi akatoka nje na kusimama penye mwingilio wa lango la jiji. Ndipo Abimeleki na watu waliokuwa pamoja naye wakasimama kutoka mahali pa kuvizia.