-
Waamuzi 11:38Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
38 Ndipo akasema: “Nenda!” Basi akamwacha aende kwa miezi miwili; naye akaenda, yeye pamoja na wasichana wenzake, akiulilia ubikira wake juu ya milima.
-