Waamuzi 16:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Baadaye Delila akamwambia Samsoni: “Tafadhali niambie, Hizi nguvu zako nyingi zinatokana na nini, nawe unaweza kufungwa kwa kitu gani ili mtu akutawale?”+
6 Baadaye Delila akamwambia Samsoni: “Tafadhali niambie, Hizi nguvu zako nyingi zinatokana na nini, nawe unaweza kufungwa kwa kitu gani ili mtu akutawale?”+