Waamuzi 16:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Basi wakuu wa muungano wa Wafilisti+ wakamletea mwanamke huyo kamba mbichi saba ambazo hazijakaushwa. Baadaye akamfunga kwa kamba hizo.
8 Basi wakuu wa muungano wa Wafilisti+ wakamletea mwanamke huyo kamba mbichi saba ambazo hazijakaushwa. Baadaye akamfunga kwa kamba hizo.