-
Waamuzi 16:29Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
29 Ndipo Samsoni akajiinamisha kwa zile nguzo mbili za katikati ambazo juu yake nyumba ilikuwa imesimamishwa imara, naye akazishika, moja kwa mkono wake wa kuume na ile nyingine kwa mkono wake wa kushoto.
-