-
1 Samweli 9:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Nao wakapanda kwenda jijini. Walipokuwa wakiingia katikati ya jiji, tazama, Samweli alikuwa anatoka nje kuja kuwapokea ili kupanda kwenda mahali pa juu.
-