-
1 Samweli 19:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Walipomwambia Sauli habari hizo, mara moja akatuma wajumbe wengine, nao pia wakaanza kutenda kama manabii. Basi Sauli akatuma tena wajumbe wengine, kikundi cha tatu, nao pia wakaanza kutenda kama manabii.
-