-
1 Samweli 25:40Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
40 Basi watumishi wa Daudi wakamjia Abigaili kule Karmeli na kumwambia hivi: “Daudi ametutuma kwako tukuchukue uwe mke wake.”
-