-
1 Samweli 27:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Ndipo Daudi akamwambia Akishi: “Ikiwa sasa nimepata kibali machoni pako, na wanipe mahali katika moja la majiji ya mashambani, ili nikae huko; kwa nini mtumishi wako akae katika jiji la kifalme pamoja nawe?”
-