11 Na kuhusu mwanamume na mwanamke, Daudi hakuhifadhi hai yeyote ili kuwaleta Gathi, akisema: “Wasije wakatusema kwa maneno haya, ‘Hivi ndivyo Daudi alivyofanya.’”+ (Na hii imekuwa kawaida yake siku zote ambazo aliishi katika nchi ya mashambani ya Wafilisti.)