-
2 Samweli 2:30Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
30 Naye Yoabu akageuka, akaacha kumfuatilia Abneri, akaanza kuwakusanya watu wote pamoja. Na watumishi wa Daudi walipungukiwa na watu kumi na tisa pamoja na Asaheli.
-