2 Samweli 9:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Kwa hiyo Siba akamwambia mfalme: “Mtumishi wako atafanya kulingana na yote ambayo mfalme bwana wangu anamwamuru mtumishi wake; lakini Mefiboshethi+ anakula mezani pangu kama mmoja wa wana wa mfalme.”
11 Kwa hiyo Siba akamwambia mfalme: “Mtumishi wako atafanya kulingana na yote ambayo mfalme bwana wangu anamwamuru mtumishi wake; lakini Mefiboshethi+ anakula mezani pangu kama mmoja wa wana wa mfalme.”