2 Samweli 14:16 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 16 Kwa sababu mfalme alisikiliza ili kumkomboa kijakazi wake kutoka mkononi mwa mtu anayetafuta kuniangamiza mimi na mwanangu wa pekee kutoka katika urithi aliotoa Mungu,’+
16 Kwa sababu mfalme alisikiliza ili kumkomboa kijakazi wake kutoka mkononi mwa mtu anayetafuta kuniangamiza mimi na mwanangu wa pekee kutoka katika urithi aliotoa Mungu,’+