2 Samweli 14:33 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 33 Kwa hiyo Yoabu akaingia kwa mfalme na kumwambia. Ndipo akamwita Absalomu, ambaye sasa aliingia kwa mfalme, akamsujudia, akaanguka kifudifudi mbele ya mfalme; kisha mfalme akambusu Absalomu.+
33 Kwa hiyo Yoabu akaingia kwa mfalme na kumwambia. Ndipo akamwita Absalomu, ambaye sasa aliingia kwa mfalme, akamsujudia, akaanguka kifudifudi mbele ya mfalme; kisha mfalme akambusu Absalomu.+