1 Wafalme 1:45 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 45 Kisha Sadoki kuhani na Nathani nabii wakamtia mafuta kuwa mfalme+ katika Gihoni; halafu wakaja kutoka huko wakishangilia, na jiji limejaa fujo. Hizo ndizo kelele mlizosikia.+
45 Kisha Sadoki kuhani na Nathani nabii wakamtia mafuta kuwa mfalme+ katika Gihoni; halafu wakaja kutoka huko wakishangilia, na jiji limejaa fujo. Hizo ndizo kelele mlizosikia.+