-
1 Wafalme 1:51Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
51 Baada ya muda Sulemani akaletewa habari, zikisema: “Tazama, Adoniya amemwogopa Mfalme Sulemani; na tazama, ameshika pembe za madhabahu, akisema, ‘Mfalme Sulemani na aniapie kwanza kabisa kwamba hatamuua mtumishi wake kwa upanga.’”
-